AUDIO: CHRISTIAN BELLA ASEMA ATAANGUSHA SHOW YA KIUTU-UZIMA USIKU WA NANI KAMA MAMA …msikilize hapa live bila chenga

MWIMBAJI wa muziki wa dansi mwenye mvuto wa kipekee Christian Bella, amesema siku ya onyesho lake la Usiku wa Nani Kama Mama ataangusha show ya kiutu uzima.

Bella amesema atapiga show iliyosheni nidhamu ya jukwaa sambamba na nidhamu ya muda.

Usiku wa Nani Kama Mama unafanyika Ijumaa hii katika ukumbi wa Mzalendo Pup – Millennium Tower Kijitonyama ukisindikizwa na bendi ya Malaika, Ommy Dimpoz, Banana, Dully Sykes, Cassim Mganga na Matonya.

Msikilize Bella hapo chini anavyozungumzia onyesho hilo.

Comments