ANGALIA PICHA KILI TOUR ILIVYOFUNIKA KIGOMA




ANGALIA PICHA KILI TOUR ILIVYOFUNIKA KIGOMA
Wakazi wa mji wa Kigoma na vitongoji vyake wakiwa katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika, Jumamosi Agosti 23, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Amini akitoa burudani katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma Jumamosi Agosti 23, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ben Pol akitoa burudani katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma Jumamosi Agosti 23, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

 
Mwanamuziki Christian Bella akiwaimbisha wimbo wake wa 'Nani Kama Mama' wakazi wa Kigoma na vitongoji vyake katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika, Jumamosi Agosti 23, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Diamond Platinumz akiwapagawisha mashabiki wa wakazi wa mji wa Kigoma katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika, Jumamosi Agosti 23, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, MwanaFA akiwapa burudani wakazi wa jiji la Dodoma katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma Jumamosi Agosti 23, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
  Wadau wakifurahia burudani
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Mwasiti ambaye ni mzaliwa wa Kigoma akitoa burudani nyumbani katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma Jumamosi Agosti 23, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Mfalme wa muziki wa Taarabu Mzee Yusuph akitoa burudani sambamba na wacheza shoo wake katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika, Jumamosi Agosti 23, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Nguli wa Muziki wa Kizazi Kipya, Joseph Haule atoa burudani sambamba na mdogo wake Coriombi ambaye ni mdogo wake wa kuzaliwa nae ambaye kwa sasa amekuwa akimuandaa kuwa mrithisha wa mikoba yake katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma Jumamosi Agosti 23, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Weusi: Wasanii wa Kundi la Weusi linaloundwa na Joh Makini, Nikki 2, G-Nako toka Kaskazini mwa Tanzania, Jijini Arusha wakitoa burudani katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma Jumamosi Agosti 23, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Dj Choka ambaye ni Dj rasmi wa kundi la Weusi akiwajibika jukwaani.
 Backstage: Christian Bella, Nikki wa Pili na Amini.
Backstage: Profesa Jay
 Mizuka ya show iliwafanya hawa washindwe kujizuia kutoa shangwe
Backstage: MwanaFA
PICHA NA KAJUNASON


Comments