 Klabu ya Young Africans haijajitoa kushiriki mashindano ya   Kombe la Kagame chini Rwanda kama inavyoripotiwa na baadhi ya mitandao ya habari   nchini na kusema taarifa hizo ni za uongo.
Klabu ya Young Africans haijajitoa kushiriki mashindano ya   Kombe la Kagame chini Rwanda kama inavyoripotiwa na baadhi ya mitandao ya habari   nchini na kusema taarifa hizo ni za uongo.Katibu mkuu wa Yanga SC   Bw Beno Njovu amesema taarifa hizo zilizosambazwa ni za uongo na kuwa kwa siku   ya leo hajaongea na mwandishi wa habari yoyote juu ya michuano   hiyo.
Sie hatujatangaza   kutoshiriki michuano ya Kagame, kama tulivyosema awali kikubwa tunasubiri   taarifa rasmi za kushiriki kutoka CECAFA zitufikie ofisini nasi tupange mikakati   yetu "amesema Beno".
Comments
Post a Comment