RATIBA YA MABONDIA WA TANZANIA WANAOWAKILISHA TAIFA KATIKA MASHINDANO YA JUMUIYA YA MADOLA SCOTLAND (NDONDI)
Hatimaye ratiba ya mchezo   wa ngumi kwa mashindano ya Jumuiya ya Madola imetolewa leo tarehe 24/07/14 baada   ya zoezi la kupima uzito na afya lililofanyika kuanzia saa 2.00 hadi saa 4.00   Asubuhi kwa saa za Scotland, kwa mabondia na waamuzi wote wanaotegemea kushiriki   mashindano hayo`1.
  Ratiba hiyo inaonyesha kuwa   mashindanoo yataanza  tarehe 25/07/14 na yatamalizika tarehe   02/08/14.katika ukumbi wa Secc (Hall 4A) na inaonyesha kuwa captain wa timu ya   Tanzania Selemani kidunda ndiye atayeanza kupeperusha bendera ya taifa na   hatiaye kufatiwa na mabondia wengine kama ifuatavyo:-
   Tarehe 25/07/14 saa 1.45 Jioni  (69)   kg  
            Kehinde Ademuyiyiwa (Nigeria) v/s Selemani Kidunda   (Tanzania)
   Tarehe 26/07/14 saa 7.20 Mchana (60)   kg
                        Jessie Lartey (Ghana) v/s Nasser Maffuru ( Tanzania)
                                          Saa 1.00 Jioni (64) kg
            Stevin Thanki (Malawi) v/s Fabian Gaudensi (Tanzania)
   Tarehe 27/07/14 saa 12.45 Jioni( 52)   kg
                             Bye                                     v/s Ezra Paul ( Tanzania)
                                                   Saa 1.40 Jioni (8I)kg
                         Mohamed Hakimu (Tanzania) v/s Sumit Sangwan (India)
          Tarehe   28/07/14 saa 7.25 Mchana) (56)kg
            Bashiri Nasir (Uganda) v/s Emilian Patrick (Tanzania)
                                                   Saa 1.35 jioni (49) kg
                      Paddy Barnes( Northern Ireland) v/s Hamed Furahisha (Tanzania)   
  Taarifa hizi zimeletwa na   
  Makore   mashaga
  KATIBU   MKUU.

Comments
Post a Comment