WAZEE wa Ngwasuma FM Academia usiku wa sherehe za Idd el Fitr (Idd Mosi) waliangusha burudani nzito kwenye ukumbi wao wa nyumbani New Msasani Club.
Wakichangizwa na nyimbo zao za albam mpya ya "Chuki ya Nini", FM Academia wakarindimisha muziki mzito uliokata kiu ya mashabiki wao.
Mwimbaji Dispatch akifanya kifanya vitu vyake
Waimbaji Mule Mule (kushoto) na Paplo Masai (kulia) walikuwa kivutio kikubwa
Tumba na tai shingoni kumbe vinaendana tu
Mstari wa mbele ni waimbaji Jesus Katumbi, Dispatch, King Blaise, Mule Mule na Pablo Masai
Makamuzi yanaendelea
Comments
Post a Comment