Diego Costa akiipatia   Chelsea bao la kusawazisha baada ya timu hiyo ya darajani kwenda mapumziko ikiwa   nyuma kwa bao 1-0 mechi hii iliyochezewa uwanja wa Stozice nchini   Slovenia.
  
Wachezaji wa Chelsea   wakishangilia bao la 2 na la ushindi lililofungwa na Kurt   Zouma.
  Kurt Zouma akifunga goli   lililokataliwa kuwa alikua   amezidi.
Comments
Post a Comment