NEW VIDEO: PATCHO MWAMBA WA FM ACADEMIA ASHIRIKISHWA KWENYE VIDEO MPYA YA MASHUJAA BAND – THAMANI YA MTU …itupie macho hapa
NI bonge ya kichupa. Mashujaa Band wameachia video yao mpya ya wimbo wao mkali "Thamani ya Mtu" ambapo ndani yake ameshirikishwa mwimbaji wa FM Academia Patcho Mwamba.
Kuachiwa kwa video hii, kunaashiria kuwa kasi ya Mashujaa Band haina dalili ya kushuka na huu unakuwa ni mwendelezo mzuri wa kuthibitisha ni kwanini bendi hii imechukua tuzo ya bendi bora Tanzania kwa mwaka wa pili mfululizo.
Hebu itupie macho video hii mpya ya Mashujaa Band, "Thamani ya Mtu".
Comments
Post a Comment