MCHEZAJI WA ZAMANI WA MAN UTD JI SUNG PARK AFUNGA NDOA



MCHEZAJI WA ZAMANI WA MAN UTD JI SUNG PARK AFUNGA NDOA
BtjCAbGCIAAND0G
Maharusi – Park na Kim
Ji-Sung Park ambae ni nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Korea ya Kusini amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi  Kim Min Ji jana huko Gwanjangdong nyumbani kwao Korea ya Kusini.Park ambae aliichezea Manchester United 2005 mpaka 2012 alishasambaza picha za sherehe ya kabla ya harusi mapema mwezi huu lakini harusi rasmi imefanyika jana na kuhudhuriwa na mchezaji mwenzie wa zamani wa Man Utd Patrice Evra, pia kocha wa zamani wa Korea ya Kusini – Guus Hiddink.

Staa mwingine mkubwa aliyehudhuria sherehe hizo ni muimbaji PSY staa wa hit single ya 'gangnam Style' na Gentleman.
hiddink-psyJPG
PSY na kocha Guus Hiddink


Comments