MASHUJAA BAND WALIVYOITEKA MTWARA



MASHUJAA BAND WALIVYOITEKA MTWARA
MASHUJAA BAND WALIVYOITEKA MTWARA

BENDI ya Mashujaa "Wazee wa Kibega" siku ya Idd Mosi walifanya onyesho la aina yake mjini Mtwara na kuhudhuriwa na mashabiki wengi wa burudani.

Onyesho hilo lilifanyika ndani ya ukumbi wa Makonde Beach. Hilo linakuwa ni onyesho la kwanza la ziara ndefu ya Mashujaa Band kuzunguka zaidi ya nusu ya mikoa yote ya Tanzania.

Pata picha kadhaa za onyesho hilo.

Jado FFU akifanya yake jukwaani

Waimbaji wa Mashujaa Band wakikamua kwenye ukumbi wa Makonde Beach

Dansa Super K (mbele kabia) akionoza safu ya wacheza show

Sauti ya Radi (kushoto) na Chaz Baba (kulia) wakinadi kinywaji cha Bavaria kilichodhamini ziara yao

 



Comments