
Mbele ya mashabiki                36,170 mchezaji Raheem Sterling aliyefunga goli pekee na                la ushindi lililoweza kuizamisha timu ya Olympacos ya                Ugiriki kwenye mechi za mazoezi zinazoendelea nchini                Marekani kwa ajili ya kujiandaa na ligi za nchi zao. Mechi                hii iliyochesewa jijini Chacago jimbo la Illinois siku ya                Jumapili July 27, 2014 ilikuwa ya kusisimua na iliyojaa                upinzani na kushambuliana kwa zamu muda wote. Bao la                Liverpool lilianzia kwa Daniel Sturridge aliyempasia                mfungaji na kufunga goli la pekee katika mchezo huo ndai                ya dakika 5 za mwanzo.
          

Raheem Sterling akishangilia bao lake.
        
Comments
Post a Comment