KAGASHEKI CUP 2014: PENATI ZAPIGWA TENA LEO KAITABA, KITENDAGURO FC YAIBUKA BINGWA NA KUSONGA NUSU FAINALI KWA PENATI 6-5 DHIDI YA TIMU YA RWAMISHENYE FC




KAGASHEKI CUP 2014: PENATI ZAPIGWA TENA LEO KAITABA, KITENDAGURO FC YAIBUKA BINGWA NA KUSONGA NUSU FAINALI KWA PENATI 6-5 DHIDI YA TIMU YA RWAMISHENYE FC Mikwaju ndio iliwatoa Rwamishenye na hapa ni kipa wake akipelekeshwa katika mkwaju wa Mwisho!! mpira umepigwa huku yeye akajitupa kule!!Wachezaji wa Kitendanguro wakishangilia kwenda Nusu Fainali baada ya kuwatoa kamasi Wanabodaboda timu ya Rwamishenye Fc penati 6-5kushoto ni kipa wa Makhirikhiri Kitendaguro Fc akifurahia ushindi na mwenzakeUshindi Mtamu!!! tunaenda Nusu Fainali!!!Dada Shabiki wa Timu ya Kitendaguro alishindwa kujizuia akajikuta katikati ya Uwanja! Kwa picha zaidi za Faustine Ruta BOFYA HAPA

Comments