Anaonekana                kuvutia: Mshambuliaji, Joel Campbell amejiunga na                wachezaji wenzake wa Arsenal katika kambi ya  Austria.
          Joel                Campbell amepigwa picha akifanya mazoezi kwa mara ya                kwanza na kikosi cha Asernal.Nyota huyo mwenye miaka 22 alishiriki mazoezi hayo                  huko Austria, ambapo klabu imeweka kambi ya siku nne                  kabla ya kurudi kuwa mwenyeji wa kombe la Emirates.Katika kombe hilo, Asernal                  itacheza dhidi ya Benfica na Monoca.
          Msimu                uliopita Campbell alionesha kiwango kizuri akiwa na                mabingwa wa Ugiriki , Olympiacos, akifunga mabao 7                yakiwemo mawili dhidi ya Manchester United katika hatua ya                16 ya ligi ya mabingwa Ulaya.
        Arsene                Wenger akimtazama kwa umakini  Joel Campbell nchini                Austria
        Ujuzi:                Campbell anatarajia kuonesha ujuzi wake akiwa na Asernal                msimu ujao.
          na                MPEJA BLOG
        
Comments
Post a Comment