MANCHESTER City imetambulisha jezi zake mpya za ugeni zitakazotumika kwa msimu ujao unaotarajia kuanza ndani ya siku 16 zijazo.
Mabingwa hao watetezi watatupia jezi za bluu ya giza huku bukta zikiwa ni bluu iliyokolea kiza zaidi.
City inayofundishwa na Manuel Pellegrini itajitupa uwanja wa Wembley kukata utepe kwenye ngao ya hisani dhidi ya Arsenal tarehe 14 mwezi ujao.
Comments
Post a Comment