IDD MOSI: MALAIKA BAND WAKO MOROGORO …MASHUJAA BAND MTWARA

IDD MOSI: MALAIKA BAND WAKO MOROGORO …MASHUJAA BAND MTWARA
IDD MOSI: MALAIKA BAND WAKO MOROGORO …MASHUJAA BAND            MTWARA

MALAIKA Music Band  leo usiku watakuwa ndani ya ukumbi wa Bwalo la Umwema mjini Morogoro wakitarajiwa kupiga onyesho lao la kutakata kwa ajili ya Idd Mosi.

Wakati Malaika wako mjini Morogoro, bendi ya Mashujaa itakuwa mjini Mtwara.

Mashujaa Band watapiga onyesho lao la Idd Mosi kwenye ukumbi wa Makonde Beach.

Comments