DAR Modern Taarab Jumanne usiku katika kuadhimisha sherehe za Idd el Fitr, walifanya onyesho maridadi ndani ya ukumbi wa Travertine Hotel Magomeni.
Katika onyesho hilo, mashabiki wakashuhudia uzinduzi wa albam mpya iliyokwenda kwa jina la "Ubinadamu Kazi"
Zifuatazo ni picha kadhaa za onyesho hilo.
Baadhi ya mashabiki waliofika kuishuhudia Dar Modern Taarab
Waimbaji wa Dar Modern jukwaani
Mpiga kinanda Kamongo akiwa kwenye ajira yake mpya akitokea Mashauzi Classic
Ramadhan Kisolo kwenye gitaa la solo
Mpiga bass Hajji Kijungu
Waimbaji Zubeda Mlamali (kushoto) na Mossi Suleiman
Mtangazaji wa East Africa Radio, Mwanne Othman akiwa ukumbini
Madhari ya onyesho la Dar Modern inavyoonekana kwa nyuma
Mmoja wa waimbaji tegemo wa Dar Modern Sikudhani Ali
Mashabiki wakiviacha viti vyao na kwenda kucheza goma la Dar Modern Taarab
MC wa onyesho hilo Hawa Hassan wa ITV/Capital Radio
Baadhi ya waimbaji wa Dar Modern
Hassan Vocha akiimba moja ya nyimbo mpya za Dar Modern
Comments
Post a Comment