ARSENAL imechapwa 1-0 na timu anayoichezea Thierry Henry New York Red Bulls ya Marekani katika mchezo wa kujipima nguvu uliofanyika New Jersey.
Bao hilo pekee la New York Red Bulls lilifungwa na Bradley Wright-Phillips katika dakika ya 33.
Arsenal inategemewa kuongeza nguvu katika mechi zake za majaribio kwa ujio wa mshambuliaji wao mpya kutoka Barcelona Alexis Sanchez anayetegemewa kuripoti kambini wiki hii.
Thiery Henry na kocha Arsene Wenger
New York Red Bulls (4-4-1-1): Robles (Meara 81); Duvall (Kimura 77), Olave (Armando 46), Sekagya (Miazga 61), Miller (Alexander 46); Sam (Lade 81), Cahill (Bustamante 62), McCarty (Bover 70) , Oyongo; Henry (Luyindula 54); Wright-Phillips (Akpan 46).
Arsenal (4-3-2-1): Szczesny (Martinez 46); Jenkinson (Bellerin 46), Hayden (Miquel 46), Monreal, Gibbs; Arteta (Diaby 46), Wilshere (Coquelin 46), Ramsey (Flamini 46); Zelalem (Akpom 46), Cazorla (Olsson 71 ); Rosicky (Toral 71).
Comments
Post a Comment