Kijana mdogo mwenye umri wa miaka 17 Zelalem mwenye asili ya Ethiopia lakini mzaliwa wa Berlin Germany ambako wazazi wake waliamishia makazi yao huko, hapa Zelalem akichuana na Thierry Henry wa New York Red Bulls. Katika mchezo Arsenal walikubali kipigo cha bao moja bao lilipatika katika dk ya 33 na mfungaji alikuwa ni Bradley Wright Phillips wa Red bulls.
Wilshere Mchezaji wa Arsenal akijaribu kumzunguka mchezaji wa Red bulls katika mchezo huo, Arsenal hii ni mara yao ya kwanza kufanya ziara katika nchi ya Marekani.
Comments
Post a Comment