WACHINA ACHANA NAO KABISA, JEZI MPYA YA ARSENAL YAANZA KUUZWA KABLA HAIJAZINDULIWA



WACHINA ACHANA NAO KABISA, JEZI MPYA YA ARSENAL YAANZA KUUZWA KABLA HAIJAZINDULIWA

Leaked: Arsenal's new Puma kit appears to be on                  sale in China ahead of the official release date

JEZI mpya ya Arsenal imeonekana kuvuja baada ya shabiki mmoja kutupia picha inayoonyesha jezi hiyo ikiwa sokoni huko China kabla hata ya tarehe ya kuzinduliwa rasmi.

Jezi mpya za nyumbani za Arsenal zinategemewa kuzinduliwa Julai 10.

Kufuatia picha hiyo, uongozi wa Arsenal umesema jezi yoyote itakayouzwa kabla ya Julai 10 itakuwa ni feki. 



Comments