SUAREZ NI YULE YULE HABADILIKI …alimng’ata Otman Bakka wa PSV, akamng’ata Branislav Ivanovic wa Chelsea, sasa amng’ata Chiellini wa Italia




SUAREZ NI YULE YULE HABADILIKI …alimng'ata Otman Bakka wa PSV, akamng'ata Branislav Ivanovic wa Chelsea, sasa amng'ata Chiellini wa Italia

Sequence of events: Footage of the clash (above)                  appeared to show Uruguay's Luis Suarez leaning in to                  bite the shoulder of Italian defender Giorgio Chiellini                  during a crucial World Cup clash in Natal, Brazil

MSHAMBULIAJI wa Uruguay Luis Suarez amekumbwa na kashfa mpya baada ya kuonekana kumngata Giorgio Chiellini wa Italia.

Suarez alionekana akiminya bega la Chiellini muda mchache kabla ya Diego Godin kufunga bao la ushindi la Uruguay dhidi ya Italia.

Did he or didn't he? Close-up images showed the                  moment Suarez leaned in onto his opponent's shoulder

Chiellini aliangushwa chini na uchungu wa meno ya Suarez na alionekana akimkimbilia refarii akimvulia shati ilikuonesha alama ya meno begani lakini refarii akapuzilia mbali .

Chiellini ameiambia runinga moja ya Italia kuwa Suarez alijiangusha chini likuficha uovu huo wa kutisha na kusingizia kuwa alikuwa amepigwa kumbo.

Down they go: Both men fell to the ground, with                  Chiellini clutching his shoulder and Suarez holding his                  teeth

Suarez alionekana akigaaga uwanjani baada ya tukio hilo.

Japo refarii Marco Rodriguez hakuona tukio hilo la kutamausha Chiellini amesikika akisema kuwa ni jambo la kuhuzunisha kuwa refarii huyo alipuzilia mbali maombi yake ya kutaka hatua ichukuliwe dhidi ya mshambulizi huyo ambaye aliadhibiwa kwa tukio lengine kama hilo akiichezea Liverpool misimu miwili iliyopita nchini Uingereza.

Opponent: Italy's Giorgio Chiellini looked outraged                  and showed the apparent point of impact on his shoulder

Evidence: Close-up images showed what looked like                  the imprints of at least five teeth on his shoulder

Meno yanaonekana dhahiri

Suarez alilazimika kukaa nje kwa mechi 10 baada ya kumngata kiungo wa Chelsea Branislav Ivanovic aprili 2013.

Awali Suarez aliadhibiwa na shirikisho la soka la Uholanzi lilimuadhibu Suarez kwa marufuku ya mechi saba baada ya kumngata mchezaji wa PSV Eindhoven Otman Bakka wakati huo akiwa nahodha wa Ajax Amsterdam.

Mwaka wa 2010 Suarez aliunawa mkwaju ambao ulikuwa unaingia wavuni na kuinyima Ghana nafasi ya kuingia kwenye nusu fainali ya kombe la dunia.



Comments