WASANII wanaokimbiza Bongo, R.O.M.A, Mo Music na Tunda Man jana wameangusha bonge la shoo katika fukwe za Coco Beach, jijini Dar.
Shoo hiyo iliandaliwa na Kampuni ya Zantel kwa kushirikiana na Redio Times FM ambayo ilikuwa na lengo la kutangaza bidhaa za Zantel na kuwaburudisha mashabiki wa burudani Bongo.
SOURCE-GPL
Comments
Post a Comment