UZINDUZI wa albam mpya ya Jahazi Modern Taarab "Chozi la Mama" umekamilika rasmi na kama tulivyoripoti kwenye habari ya awali ni kwamba umefana kupitiliza.
Pata picha 30 za namna uzinduzi huo ulivyozinduliwa Jumamosi kuamkia Jumapili kwenye ukumbi wa Dar Live Mbagala.
Amigo akiimba sambamba na mkewe wa pili
Babu Ali akipapasa kinanda
Waimbaji Fatma Kassim (kushoto) na Fatma Shobo
Hadija Yussuf akiimba Hasidi hana sababu
Hajj Mabovu mtaalam wa IT wa Jahazi
Hamis Dolphin akichukua picha za video
Hans Kiumbe (kushoto) na Hajj Mabovu wa kitengo cha IT cha Jahazi
Mwasiti Kitoronto akiimba Alipangalo Jalali
Malkia Leyla Rashid akiimba mbele ya umati mkubwa
Waimbaji Rahma Machupa (kushoto) na Mishi Mohamed
Ma-mc kutoka Kenya Mamaa Madikodiko (kushoto) na Anti Leyloo
Leyla Rashid akiimba Fanya Yako
Mohamed Mauji kwenye solo
Mauji na Hajj Mabovu
Miraji Sultan "Mazoea" akipapasa kinanda
Mzee Yussuf akiwa na Ma-mc kutoka Kenya
Fatma Mcharuko
Mfalme Mzee Yussuf
Mzee Yussuf
Mzee Yussuf akionyesha tuzo yake ya Kili
Mzee Yussuf akiimba kwa hisia kali
Mzee Yussuf kwenye kinanda
Mzee Yussuf akiwa mwingi wa furaha
Mussa Bass akipagawisha
Mussa Mipango akipiga bass gitaa
Mwimbaji Mwasiti Robert
Mzee Yussuf akiimba Chozi la Mama
Amigo mbele ya umati wa mashabiki
Amigo akiimba Tiba ya Mapenzi
Hivi ndivyo albam ya Chozi la Mama ilivyozinduliwa
Comments
Post a Comment