OBAMA ASHUHUDIA MAREKANI IKIFUZU HATUA YA MTOANO KOMBE LA DUNIA AKIWA KWENYE NDEGE



OBAMA ASHUHUDIA MAREKANI IKIFUZU HATUA YA MTOANO KOMBE LA DUNIA AKIWA KWENYE NDEGE

Flying high: Obama              watched the game from his airplane as USA progressed to the              knockout rounds

Akiwa angani: Obama akitazama mechi ya mwisho ya Marekani dhidi ya Ujerumani akiwa kwenye ndege yake.
RAIS wa Marekani, Barack Obama ameonesha jinsi gani kombe la dunia ni muhimu kwa taifa lake baada ya kuamua katazama mchezo wa mwisho wa kundi G dhidi ya Ujerumani akiwa kwenye ndege yake binafsi.
Obama alikuwa anasafiri kwa ndege kutoka   Maryland  kwenda  Minnesota  wakati Marekani ikicheza mchezo muhimu na alihakikisha hakosi mchezo huo kupitia matangazo ya moja kwa moja kwenye luninga iliyopo kwenye ndege yake.
 Flying high: Obama watched                    the game from his airplane as USA progressed to the                    knockout rounds
Kitu kwa anga: Obama akitazama mechi ya Marekani na kushuhudia taifa lake likifuzu hatua ya 16.
New fans: 'Soccer' has                    seen an explosion of popularity during the tournament                    both in the US and Brazil
Mashabiki wa timu ya taifa ya Marekani walishangilia timu yao wakiwa kote Marekani na Brazil.
Only goal: Thomas Muller's                    strike meant defeat for the United States but they                    qualified nonetheless
Kikosi cha Mjerumani, Jurgen Klinsmann kilipoteza mechi kwa goli la Thomas Muller, lakini kimefuzu hatua ya mtoano kwa wastani mzuri wa mabao ya kufunga na kufungwa dhidi ya Ureno.

Adopted nation:                      Klinsmann's print-out letter designed to be handed                      in by American's at their workplaces
 Klinsmann alichapisha barua ya kuomba sapoti kutoka kwa mashabiki wa Marekani na viongozi kwa ujumla.

Permission: New York                    governor Andrew Cuomo responded to Klinsmann's request                    on twitter
Ruksa: Gavana wa  New York , Andrew Cuomo alijibu maombi ya  Klinsmann kwenye mtandao wa Twita.


Comments