HISTORIA YA DIRK KUYT KWENYE MICHUANO YA LIGI KUU
1998-2003: Utrecht (alicheza mechi 160 , alifunga magoli 51)
2003-2006: Feyenoord (alicheza mechi 101, alifunga magoli 71)
2006-2012: Liverpool (alicheza mechi 208 , alifunga 51)
2012-NOW: Fenerbahce (amecheza mechi 63, amefunga magoli 18)
2004-NOW: Holland (amecheza mechi 99, amefunga magoli 24)

Kikosi cha Van Gaal kinashuka dimbani leo jumapili dhidi ya Mexico na Kuyt ameonya kuwa hakutakuwa na mabadiliko katika mfumo wao wa ushambuliaji uliowapatia mabao 10 mpaka sasa.
Alisema: "Tuna Robin van Persie na Wesley Sneijder ambao ni wachezaji bora zaidi duniani, kwa maoni yangu. Tunajua ubora wetu na tunataka kuutumia".
Comments
Post a Comment