KAGASHEKI CUP 2014: BILELE 1 vs RWAMISHENYE 3, BINGWA MTETEZI AANZA VIBAYA!! ACHAPWA NA WANA BODABODA RWAMISHENYE FC!
Mabingwa watetezi Bilele FC wameanza kwa                kufungua Michuano hii ya Kagasheki Cup vibaya baada ya                Kutandikwa bao 3-1 na Timu ya Rwamishenye Fc leo hii                kwenye Uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini. Bilele FC ndio                walioanza kuifunga timu ya Rwamishenye katika dakika ya 5                kipindi cha kwanza, Bao likifungwa na Miraji Ramadhan. 
        Kesho Mtanange unaendelea na utazikutanisha                timu za Bakoba na Kashai, Mtanange utakao pigwa saa 10:00                jioni. Jumatatu kutakuwepo na mitanange 2 wa saa 8 na saa                10 jioni. Wachezaji wa                Rwamishenye Fc wakishangilia moja ya bao lao
Wachezaji wa                Rwamishenye Fc wakishangilia moja ya bao lao Wachezaji wa timu ya Bilele Fc                wakishangilia bao lao la dakika ya 5 lilifungwa na Miraji                Ramadhan
Wachezaji wa timu ya Bilele Fc                wakishangilia bao lao la dakika ya 5 lilifungwa na Miraji                Ramadhan Kikosi Cha Timu ya Rwamishenye                kilichoanza
Kikosi Cha Timu ya Rwamishenye                kilichoanza Kikosi cha Timu ya Bilele FC
Kikosi cha Timu ya Bilele FC Timu zikisalimiana
Timu zikisalimiana Waamuzi na Timu Kapteni timu                zote mbili wakilianzisha
Waamuzi na Timu Kapteni timu                zote mbili wakilianzisha  Waamuzi wa Mtanange huu
Waamuzi wa Mtanange huu Kikosi cha Timu ya Rwamishenye                uwanjani wakiomba kabla ya kipute kuanza muda mfupi
Kikosi cha Timu ya Rwamishenye                uwanjani wakiomba kabla ya kipute kuanza muda mfupi Mgeni Rasmi akisalimia timu ya                Rwamishenye
Mgeni Rasmi akisalimia timu ya                Rwamishenye Mgeni Rasmi akisalimia timu ya                Bilele Fc ambao ndio Mabingwa watetezi wa Kombe hili
Mgeni Rasmi akisalimia timu ya                Bilele Fc ambao ndio Mabingwa watetezi wa Kombe hili Mgeni Rasmi akiteta jambo na                Wachezaji Pande zote mbili
Mgeni Rasmi akiteta jambo na                Wachezaji Pande zote mbili Mashabiki wakishangilia timu                yao
Mashabiki wakishangilia timu                yao kipute kikiendelea..kaitaba
kipute kikiendelea..kaitaba Wachezaji wa Timu ya Bilele                walivalia jezi zinazofanana na  Mbeya City
Wachezaji wa Timu ya Bilele                walivalia jezi zinazofanana na  Mbeya City Patashika za hapa na pale                zikiendelea, kila mchezaji akitaka aupate mpira
Patashika za hapa na pale                zikiendelea, kila mchezaji akitaka aupate mpira Kila Mchezaji alikuwa na                mwenzake wakubanana nae.
Kila Mchezaji alikuwa na                mwenzake wakubanana nae. Hapa ukatizi ndugu yangu!
Hapa ukatizi ndugu yangu!
 Wachezaji wa Timu ya                Rwamishenye wakicheza muziki baada ya kusawazisha
Wachezaji wa Timu ya                Rwamishenye wakicheza muziki baada ya kusawazisha Mashabiki ndio                usiseme...walifujaa uwanjani Kaitaba
Mashabiki ndio                usiseme...walifujaa uwanjani Kaitaba Mashabiki
Mashabiki
        Waamuzi wakina Dada nao walikuwepo                wakitazama wenzao wakiendesha mpira
        Mchezaji wa Rwamishenye akishangilia bao                lake la pili lililofungwa na Yahaya
        Wachezaji wa Rwamishenye wakishangilia bao                lao baada ya kuwanyuka Bilele Fc
        
Comments
Post a Comment