Hawa Ndiyo Washindi Wa Tuzo Za Watu Zilizotolewa Siku Ya Jana..!! Diamond, Salama Jabil Na Salim Kikeke Wang'ara...!!




Hawa Ndiyo Washindi Wa Tuzo Za Watu Zilizotolewa Siku Ya Jana..!! Diamond, Salama Jabil Na Salim Kikeke Wang'ara...!!
Tuzo za watu za Tanzania au Tanzania People's Choice Awards zimetolewa Ijumaa hii kwenye ukumbi uliopo Serena Hotel jijini Dar es Salaam. Jumla ya vipengele 11 vilikuwa vinashindaniwa. Mshindi katika kila kipengele ameibuka na zawadi ya shilingi milioni moja pamoja na trophy. Host wa tuzo hizo alikuwa mtangazaji mkongwe wa radio, Jimmy Kabwe.


WASHINDI

1. MTANGAZAJI WA REDIO ANAYEPENDWA
Millard Ayo – Clouds FM

2. KIPINDI CHA REDIO KINACHOPENDWA
Amplifaya – Clouds FM

3.MTANGAZAJI WA RUNINGA ANAYEPENDWA
Salim Kikeke – BBC Swahili

4. KIPINDI CHA RUNINGA KINACHOPENDWA
Mkasi – EATV

5. MWANAMICHEZO ANAYEPENDWA
Juma Kaseja – Yanga

6. MUONGOZAJI WA VIDEO ZA MUZIKI ZINAZOPENDWA
Nisher

7. VIDEO YA MUZIKI INAYOPENDWA YA MWANAMUZIKI WA KIUME
My Number – Diamond

8. VIDEO YA MUZIKI INAYOPENDWA YA MWANAMUZIKI WA KIKE
Yahaya – Lady Jaydee

09. MUIGIZAJI WA KIUME KWENYE FILAMU ANAYEPENDWA
King Majuto

10. MUIGIZAJI WA KIKE KWENYE FILAMU ANAYEPENDWA
Elizabeth 'Lulu' Michael

11. FILAMU INAYOPENDWA


Comments