COSTA Rica              wamefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali ya kombe la dunia              kwa kuifunga Ugiriki kwa mikwaju ya penati 5-3 baada ya              dakika za kawaida na za nyogeza 30 kumalizika kwa sare ya              bao 1-1.Hata hivyo kocha wa Ugiriki,  Fernando                Santos alitolewa kwenye benchi kwa kuoneshwa kadi nyekundu                kutokana na kumzonga mwamuzi katika mchezo huo ulioenda                hatua ya penati.
                      Sokratis                (kushoto) akifunga bao la kusawazisha dakika za lala                salama 
                      Costa Rica walilazimika                  kucheza pungufu baada ya mchezaji wake Oscar Duarte                  kutolewa nje kwa kadi nyekundu mnamo dakika ya 67                  kufuatia kadi mbili za njano.
                            Kikosi cha Costa                      Rica: Navas, Gamboa (Acosta 77), Duarte, Gonzalez,                      Umana, Diaz, Ruiz, Borges, Tejeda (Cubero 66),                      Bolanos (Brenes 83), Campbell.
                              Wachezaji wa akiba:                      Pemberton, Myrie, Barrantes, Francis, Granados,                      Miller, Calvo, Urena, Cambronero.
                              Kadi ya njano: Duarte,                      Tejeda, Granados, Ruiz, Navas.
                              Kadi nyekundu: Duarte.
                              GMfungaji wa goli: Ruiz                      52.
                              Kikosi cha                      Ugiriki: Karnezis, Torosidis, Manolas,                      Papastathopoulos, Holebas, Karagounis, Salpingidis                      (Gekas 69), Maniatis (Katsouranis 78),                      Christodoulopoulos, Samaris (Mitroglou 58), Samaras.                      Subs: Glykos, Tzavelas, Moras, Tziolis,                      Kone, Mitroglou, Vyntra, Fetfatzidis,                      Tachtsidis, Kapino.
                              Booked: Samaris, Maonlas.
                              Mfungaji wa Goli: Sokrats                      90+1 dakika moja nyongeza.
                              Mwamuzi: Benjamin Williams                      (Australia)
              
Comments
Post a Comment