BRAZIL YATINGA ROBO FAINALI KWA MATUTA


BRAZIL YATINGA ROBO FAINALI KWA MATUTA
Wachezaji wa Brazil wakishangilia baada ya kushinda kwa penalti 3-2 dhidi ya Chile.
...Mashabiki  Brazil wakishangiia.
Wachezaji wa timu ya Chile wakipongezana baada ya kushnda bao la kwana dakika ya
Neymar akipiga shoti kuwafungia Brazil penalti ya mwisho na kuwatupa nje timu ya Chilemjini Uwanja wa Belo Horizonte.
Kocha Mkuu wa Brazil, Scolari (kushoto) na Neymar wakishangilia.
WENYEJI Brazil wameitoa Chile kwa penalti 3-2 katika mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Dunia mjini Uwanja wa Belo Horizonte, kufuatia sare ya 1-1 ndani ya dakika 120.
Shujaa wa Brazil alikuwa ni kipa Julio Cesar aliyeokoa penalti mbili za Alexis Sanchez na Mauricio Pinilla wakati Gonzalo Jara aligongesha mwamba, huku Marcelo Diaz na Charles Aranguiz wakifunga.
Penalti za Brazil zilifungwa na David Luiz, Marcelo na Neymar, wakati Hulk  na Willian misses walikosa.
Brazil: Julio Cesar, Dani Alves, Thiago Silva, Luiz, Marcelo, Fernandinho, Gustavo, Hulk, Oscar, Neymar, Fred.
Subs: Jefferson, Paulinho, Dante, Maxwell, Henrique, Ramires, Hernanes, Willian, Bernard, Jo, Maicon, Victor.
Chile: Bravo, Mena, Isla, Silva, Alexis, Vidal, Vargas, Medel, Jara, Aranguiz, Diaz.
Subs: Toselli, Albornoz, Carmona, Pinilla, Valdivia, Rojas, Orellana, Beausejour, Gutierrez, Fuenzalida,
Paredes, Herrera.
Referee: Howard Webb (England)


Comments