Mshambuliaji wa Manchester City akifunga bao lake la kuongoza.
Kipa wa Iran Alireza Haghighi aliambulia manyoya tu.
Hapa chini ni vikosi vya timu zote mbili na viwango vya wachezaji. Alama ni chini ya 10.
Kikosi cha Bosnia: Begovic 6, Vrsajevic 7, Sunjic 6, Spahic 6, Kolasinac 6, Hadzic 6 (Vranjes 61', 6), Pjanic 7, Besic 7, Susic 7 (Salihovic 78'), Dzeko 8, Ibisevic 6
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Fejzic, Bicakcic, Misimovic, Mujdza, Lulic, Ibricic, Medunjanin, Visca, Hajrovic, Avdukic.
Wafungaji wa magoli: Dzeko 23', Pjanic 59', Vrsajevic 83'
Kadi ya njano: Besic
Kikosi chaIran: Alireza Haghighi 6, Hosseini 5, Sadeghi 5, Montazeri 6, Pouladi 6, Teymourian 6, Nekounam 6, Dejagah 6 (Ansarifard 68', 5), Shojaei 7(Heydari 45', 6), Hajsafi 5 (Jahanbaksh 5), Ghoochannejhad 6
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Ahmadi, Reza Haghighi, Hadadifar, Mahini, Alnameh, Rahmani, Beikzadeh, Beitashour, Davari
Mfungaji wa goli: Ghoochannejhad 82'
Kadi ya njano: Karim
Mwamuzi: Carlos Velasco Carballo (Spain) 7
Comments
Post a Comment