ANGALIA TWEET YA RIO KUHUSU USAJILI WA HERRERA WA MAN UTD



ANGALIA TWEET YA RIO KUHUSU USAJILI WA HERRERA WA MAN UTD
Screen Shot 2014-06-27 at                  1.13.50 AM
Club ya soka ya Manchester United imethibitisha uwepo wa mkali mwingine wa soka ambae anatokea kwenye club ya Athletic Bilbao na kusaini mkataba wa miaka minne na Man United ambayo kuanzia msimu ujao itakua chini ya Manager Van Gaal.

Ander Herrera mwenye umri wa miaka 24 raia wa Hispania, ameifungia club ya Athletic Bilbao magoli 7 toka amejiunga nayo mwaka 2011 na ana jumla ya magoli saba toka aanze kutumikia timu ya taifa kuanzia U20 na U21.
Screen Shot 2014-06-27 at                  1.13.19 AM
Mmoja wa mastaa wa soka waliompongeza Ander kujiunga Man United ni Rio Ferdinand aliemuandikia >>> 'hongera Ander kwa kujiunga na club kubwa, ni sehemu ambayo ndoto zinabadilika kuwa kweli kama ukijituma'


Comments