WASANII WASHATUA ASUBUHI HII KWA AJILI YA MAKAMUZI KILI TOUR KESHO

WASANII WASHATUA ASUBUHI HII KWA AJILI YA MAKAMUZI KILI TOUR KESHO
 Wasanii Watakaopiga Show ya Nguvu kesho kwenye uwanja wa ccm Kirumba,Toka kushoto ni Young killa,Joh Makini na Ben Paul na wengine wakiwa wameshatua uwanja wa ndege asubuhi hii ndani ya Jiji la Mwanza.

Comments