TIMU YA SHABA FC YAENDA BARAZA LA WAWAKILISHI KUPONGEZWA BAADA YA KUFANIKIWA KUPANDA LIGI KUU YA ZNZ
Wachezaji wa Timu ya Shaba FC ya Kojani wakiwasalimia Wajumbe wa Baraza la Wakakilishi(hawapo pichani) mara baada ya kuwasili ndani ya Ukumbi wa Baraza hilo leo kwa ajili ya kupongezwa baada ya kufanikiwa kupanda daraja na hivyo kupata Tiketi ya kushiriki Ligi kuu ya Zanzibar mwaka 2014/2015.
Viongozi na Wachezaji wa Timu ya Shaba FC ya Kojani wakiwa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi leo walipoenda kwa ajili ya kupongezwa baada ya kufanikiwa kupanda daraja na hivyo kupata Tiketi ya kushiriki Ligi kuu ya Zanzibar mwaka 2014/2015
Mwakilishi Ali Mzee Ali (katikati) akibadilishana Mawazo na Viongozi wa Timu ya Shaba FC nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi walipoenda kwa ajili ya kupongezwa baada ya kufanikiwa kupanda daraja na hivyo kupata Tiketi ya kushiriki Ligi kuu ya Zanzibar mwaka 2014/2015. Picha na Yussuf Simai-Maelezo Zanzibar
Comments
Post a Comment