UNAPOZUNGUMZIA uwajibikaji jukwaani, FM Academia "Wazee wa Ngasuma" ni habari nyingine.
Jumamosi iliyopita katika ukumbi wa Letasi Lounge maeneo ya Victoria, bendi hiyo ilipiga bonge la show ya kutaka.
Ilikuwa raha ya aina yake pale waimbaji wake wanapomaliza kuimba kisha wakaungana na wacheza show na kushambulia jukwaa kwa pamoja.
Pata picha 20 za namna show hiyo ilivyokuwa
Mwimbaji Dispach akiwa jukwaani
Waimbaji wa FM jukwaani
Ibonga Katumbi Jesus
Rapa Totoo Kalala
Mwimbaji King Blase
Mwimbaji Malu Stonch
Mwimbaji Mule Mule
Nyoshi na Queen Suzy wakishambulia jukwaa
Nyoshi el Sadat akiwajibika jukwaani
Mwimbaji Pablo Masai
Pablo Masai na Suzy wakishambulia jukwaa
Pablo Masai na Suzy wakifanya yao
Waimbaji wa FM, mbele kabisa ni Patcho
Patcho Mwamba 'Tajiri'
Hata push-up zimo pia
Queen Suzy
Show time
Kaazi kweli kweli
Full makamuzi!
Hii ndio Ngwasuma bana
Comments
Post a Comment