PATA PICHA 10 ZA AROBAINI YA GURUMO ILIYOFANYIKA JUMAPILI MCHANA



PATA PICHA 10 ZA AROBAINI YA GURUMO ILIYOFANYIKA JUMAPILI MCHANA
PATA PICHA 10 ZA AROBAINI YA GURUMO ILIYOFANYIKA JUMAPILI            MCHANA

AROBAINI ya mwanamuziki nguli wa dansi Muhidin Maalim Gurumo aliyefariki tarehe 13 mwezi uliopita, imefanyika Jumapili hii ya tarehe 25 nyumbani kwake Makuburi jijini Dar es Salaam.

Pengine kutokana na ufinyu wa upashanaji habari, hakukuwa na mahudhurio makubwa kama ilivyotarajiwa huku wanamuziki wachache waliojitokeza wakiwa ni wa Msondo Ngoma pamoja na wale wa kutafuta kwa tochi kutoka Sikinde.

Pamoja na hayo, shughuli ilikwenda vizuri ambapo kilifanyika kisomo kabla ya sadaka ya chakula kwa waliohudhuria.

Pata pichaa kadhaa.

Sehemu ya watu waliofika kwenye arobaini ya Gurumo
Hapa ni Bitchuka, Zomboko wa Radio One na Shaaban Dede
Baadhi ya wanamuziki waliohudhuria arobaini ya Gurumo
Kutoka kushoto ni Dede, Said Mabela na Zomboko
Katikati ni mjane wa Gurumo akiwa na Juma Mbizo na Asha Baraka
Mwimbaji Shaaban Dede wa Msondo Ngoma
Muda wa kupata sadaka ya chakula
Utulivu ukiwa umetawala
Sehemu ya watu waliohudhuria
Bi Pili mjane wa marehemu akiwa mtangazaji Zomboko wa Radio One

 



Comments