MWANZA KUMEKUCHA-WASANII WAWASILI KWENYE KILI MUSIC TOUR



MWANZA KUMEKUCHA-WASANII WAWASILI KWENYE KILI MUSIC TOUR
 Baadhi ya wasanii watakaotoa burudani katika tamasha la Kili Music Tour litakalofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba JIjini Mwanza Jumamosi. Show hii inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ni ya pili kati ya kumi zitakazofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tamasha la Kili Music Tour litakalofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mbeya Jumamosi huku akiwa ameameongozana na baadhi a wasanii watakaotoa burudani katika tamasha hilo kubwa.


Comments