SHINDANO la kumsaka mrembo wa Miss Mzizima katika mbio za kuelekea Miss Tanzania 2014 linafanyika leo katika ukumbi wa BNN Conference Centre – Quality Centre, Pugu Road jijini Dar es Salaam.
Waandaji wa Miss Mzizima, Kowack Brothers, wameiambia Saluti5 kuwa shindano litasindikizwa na bendi ya The African Stars "Twanga Pepeta."
Comments
Post a Comment