MASHUJAA BAND WAANZA VIZURI ONYESHO LAO LA USHINDI WA TUZO ZA KILI

MASHUJAA BAND WAANZA VIZURI ONYESHO LAO LA USHINDI WA TUZO ZA KILI
MASHUJAA BAND WAANZA VIZURI ONYESHO LAO LA USHINDI WA            TUZO ZA KILI

BENDI ya Mashujaa "Wazee wa Kibega" wameanza vizuri onyesho lao kuwashukuru wadau kwa kuwawezesha kushinda tuzo tatu za Kili Music Awards.

Katika onyesho hilo linalonendelea ndani ya ukumbi wa Letasi Lounge, Mashujaa waliingia na show bab kubwa kabla ya kauachia nyimbo mbili na baadae kutoa fursa ya wadau kushuhudia video zao mbili mpya "Ushamba Mzigo" na "Kiu ya Haki" kwenye screen kubwa.

Unajua walichosema mashabiki waliofurika ukumbini? …Mwakani tuzo 10!!!

Comments