MAKINDA WA AZAM FC KAMBINI JUNI 25, USAILI WA VIJANA JULAI MOSI MWAKA HUU



MAKINDA WA AZAM FC KAMBINI JUNI 25, USAILI WA VIJANA JULAI MOSI MWAKA HUU


 
Uongozi wa Timu ya Azam Fc unawatangazia wachezaji wake wote wa timu ya Vijana kuwa tarehe ya kuripoti kambini ni tarehe 25/06/2014 hii ni kutokana na mabadiliko ya tarehe za Mashindano yanayotarajiwa kufanyika mwezi wa saba mwishoni, hivyo uongozi umefuta tarehe ya awali ya kuripoti kambini ambayo ilikuwa tarehe 08/06/2014.

Pia usaili wa vijana utafanyika Tarehe 01/07/2014 Saa 1. 30 Asubuhi Chamazi.

usahili huo utahusisha vijana wenye umri wa miaka 15, 16 na 17 tu.

Watakaopenda kuja kwenye usaili huu wafike kabla ya Saa 1.00 Asubuh katika uwanja wa Chamazi.

UTAWALA


Comments