KILIO CHA ROSE NDAUKA KWA MAREHEMU ADAM KUAMBIANA



KILIO CHA ROSE NDAUKA KWA MAREHEMU ADAM KUAMBIANA
KILIO CHA ROSE NDAUKA KWA MAREHEMU ADAM KUAMBIANA

KAMA kuna msanii aliyekuwa kwenye hali mbaya wakati wa kuuaga mwili wa marehemu Adam Kuambina pale Leaders Club wiki iliyopita, basi Rose Ndauka ni mmoja wapo.

Rose Ndauka amabye kiusanii ni kama aliibuka pamoja na Adam Kuambiana kupitia filamu zilizoandaliwa na Bulls Entertainment ya Single Mtambalike (Rich Richie) alikuwa hoi kwa kilio karibu muda wote aliokuwa Leaders Club.

Pichani juu ndivyo alivyokuwa Rose Ndauka. Urembo wake, tabasamu lake na uchangamfu wake vyote viliyeyuka. Alikuwa hoi ile mbaya.



Comments