Habari Mpasuko...!!!MMILIKI WA MANCHESTER UNITED AFARIKI DUNIA!



BREAKING NEWSSSS ...!!!MMILIKI WA MANCHESTER UNITED AFARIKI DUNIA!
MMILIKI wa timu ya Manchester United, Malcolm Glazer, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85. Amefariki akiwa nyumbani kwake Marekani.
Glazer aliinunua klabu hiyo mwaka 2005 kwa pauni milioni 790 sawa na shilingi trioni 2.2 na akashuhudia timu hiyo ikipata mafanikio kadhaa ikiwemo kutwaa Kombe la Klabu Bingwa Ulaya na ya Ligi Kuu ya England.
Malcolm Glazer aliyefariki                  akiwa na miaka 85.
Malcolm Glazer aliyefariki akiwa na miaka 85.


Comments