FINALI ZA MAVUNDE BASKETBALL TOURNAMENT 2014 LEO AT VIJANA YOUTH CENTRE AREA C DODOMA LIVE!!

FINALI ZA MAVUNDE BASKETBALL TOURNAMENT 2014 LEO AT VIJANA YOUTH CENTRE AREA C DODOMA LIVE!!

Karibuni wote katika fainali za basketball zitakazofanyika leo katika uwanja wa Vijana Youth Centre, Area C kuanzia saa nane mchana,Mgeni Rasmi ni Naibu Waziri Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh Juma Nkamia.

Comments