Mlinzi wa Manchester City Dedryck Boyata amesaini mkataba mpya wa miaka miwili na mabingwa gao wa Premier League.
Boyata, 23, alicheza mara nne kwenye mashindano ya Capital One Cup hadi kufikia fainali, lakini hakucheza kwenye mchezo wa ushindi wa 3-1 dhidi ya Sunderland katika Wembley.
Kuongeza muda katika mkataba wa Boyata kunakuja baada ya City kutozwa faini kutokana namatumizi mabaya ya fedha za uhamisho na kuvuka mipaka iliyowekwa na Uefa ambayo hujulikana kama Financial Fair Play rules.
Comments
Post a Comment