DALILI YA MVUA NI MAWINGU`, FERNANDO TORRES AANZA KUUNGURUMA HISPANIA, APIGA MOJA KATIKA USHINDI WA 2-0
NYOTA wa Chelsea, Fernando Torres aliifungia Hispania bao muhimu katika ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Bolivia.
Mechi hiyo ya kirafiki kwa ajili ya maandalizi ya kombe la dunia ilipigwa jana usiku na Torres angefunga zaidi ya bao moja, lakini kukosa umakini kulimgharimu.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com
Comments
Post a Comment