BALOZI PETER KALLAGHE ATOA BARAKA ZAKE KWA TIMU YA TANZANIA KATIKA MASHINDANO.YA AFRICAN NATIONS CUP UK 2014.



BALOZI PETER KALLAGHE ATOA BARAKA ZAKE KWA TIMU YA TANZANIA KATIKA MASHINDANO.YA AFRICAN NATIONS CUP UK 2014.
Balozi Peter Kallaghe leo amekutana na Uongozi na Team Captains wa timu inayowakilisha Tanzania katika Mashindano ya African Nations Cup UK 2014.
 Mashindano hayo yanategemewa kuanza Kesho katika Viwanja vya WESTHAM MEMORIAL GROUNDS. MEMORIAL AVENUE E15 3BD. 
 WATANZANIA WOTE MNAOISHI UINGEREZA HUSUSAN MAENEO YA LONDON NA VITONGOJI VYAKE MNAOMBWA MJITOKEZE KWA WINGI KUISHANGILIA TIMU YETU. RATIBA KAMILI YA MECHI ZOTE NI KAMA ILIVYOAMBATANISHWA. 
 Kituo cha Karibu ni WESTHAM STATION iliyoko JUBILEE LINE Undeground Station.
MH. BALOZI AKIWA NA TEAM CAPTAINS Edward (Edo), Dulla na Lal.
MH.BALOZI AKIWAKABIDHI TEAM CAPTAINS BENDERA  Edo, Dulla, Balozi Kallaghe na Lal

MH.BALOZI PAMOJA TEAM CAPTAINS NA VIONGOZI WA TEAM Edo, Dulla, Abdul Teacher , Mh.Balozi, Omar Coach na Lal.
MH.BALOZI AKIWA NA TEAM CAPTAINS NA UONGOZI NA WASHANGILIAJI "CHEERLEADERS".

RATIBA YA MTANANGE HUO


Comments