Baadhi ya washindi wa ligi kuu Tz bara 2013/2014 timu bora, kipa bora, mfungaji bora na pesa walizozawadiwa
Kwenye usiku huu Vodacom Tanzania imetoa jumla ya milioni mia mbili sitini na mbili (262,000,000) kwa washindi wote ligi kuu.
Kocha bora msimu wa 2013/2014 ni Juma Mwambusi wa Mbeya City FC, golkipa bora msimu wa mwaka 2013/2014 ni Hussein Sharifu wa Mtibwa Sugar anapata zawadi ya Tsh 5,200,000 na tuzo.
Mchezaji bora msimu wa mwaka 2013/2014 ni Kipre Tchetche wa @azamfc anapata Tsh 5.2M, mfungaji bora msimu wa mwaka 2013/2014 ni Amisi Tambwe wa @SimbaSC36
Mwamuzi bora msimu wa 2013/2014 ni Israel Mjuni ambapo timu yenye nidhamu msimu wa mwaka 2013/2014 ni Yanga ambayo imezawadiwa Tsh 16M.
Majina ya washindi na zawadi zao ni kwa mujibu wa @VodacomTanzania
Comments
Post a Comment