AUDIO: SIKILIZA WIMBO “UCHEKECHEE” KUTOKA KWA LAILA BAIBE (ANTY LEYLOO) WA PILIPILI FM YA KENYA



AUDIO: SIKILIZA WIMBO "UCHEKECHEE" KUTOKA KWA LAILA BAIBE (ANTY LEYLOO) WA PILIPILI FM YA KENYA
AUDIO: SIKILIZA WIMBO

KAMA tulivyoahidi, tunakuletea wimbo mpya wa mduara "Uchekechee" kutoka kwa mtangazaji wa PiliPili FM ya Mombasa nchini Kenya, Leila Salim Rashid.

Wakati wasikilizaji wake wakimfahamu zaidi kama Aunty Leyloo, mashabiki wake kwa upande wa uimbaji wanamjua kwa jina la Laila Baibe.

Katika wimbo huu, Laila Baibe amemshirikisha Dully Da Brown aka Mfalme wa Lamu.

Mbali na taaluma ya utangazaji, Leila Salim Rashid ama Aunty Leyloo ama  Laila Baibe ama Malikia wa PiliPili, ameiambia Saluti5 kuwa anayo pia taaluma ya madawa - Pharmacist.

Mtangazaji na mwimbaji huyu ambaye pia ana kipaji cha kucheza filamu na michezo ya kuigiza, anasema wimbo wake huu upo ulitoka mwanzoni mwa mwezi wa uliopita.

Hebu usikilize hapo chini



Comments