ATLETICO MADRID YAPELEKA MAOMBI CHELSEA YA KUMREJESHA DIEGO COSTA



ATLETICO MADRID YAPELEKA MAOMBI CHELSEA YA KUMREJESHA DIEGO COSTA
Atletico Madrid imeanzisha mazungumzo ya kumrejesha mashambuliaji wake za zamani Diego Costa kutoka Chelsea.

Washindi hao wa pili wa Champions League wana jeuri ya pesa ya kumsajili mshambuliaji huyo baada ya kumpiga bei Jackson Martinez kwa klabu ya Guangzhou Evergrande Taobao ya china.

Lakini kikosi hicho cha Diego Simeone pia kimejiongezea kipato baada ya kuboreshewa mapato yake ya haki za matangazo ya televisheni.

Diego Costa celebrates                  scoring for Chelsea against Paris Saint-Germain in the                  Champions League last term
Diego Costa akishangilia moja ya magoli yake kwa Chelsea 
Costa - seen                    scoring from the penalty spot for Atletico Madrid                    against Chelsea - could head back to Spain
Costa akifunga kwa penalti enzi hizo akiwa na Atletico Madrid dhidi ya Chelsea


Comments