SHABIKI AKINUNUA MAPEMAAAA TIKETI YAKE YA USIKU WA BABA NA MWANA MACHI 22

SHABIKI AKINUNUA MAPEMAAAA TIKETI YAKE YA USIKU WA BABA NA MWANA MACHI 22
SHABIKI AKINUNUA MAPEMAAAA TIKETI YAKE YA USIKU WA BABA            NA MWANA MACHI 22

Pichani juu ni shabiki ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja akinunua mapema tiketi yake ya onyesho la Usiku wa Baba na Mwana litakalofanyika Machi 22 Travertine Hotel Magomeni.

Mshabiki huyo alinunua tiketi hiyo katika onyesho la Mashauzi Classic lililofanyika Alhamisi ya wiki iliyopita Mango Garden Kindondoni ambapo alikabidhiwa tiketi hiyo na Isha Mashauzi (pichani kushoto).

Tiketi za awali zinauzwa kwenye maonyesho yote ya Jahazi na Mashauzi Classic kwa bei ya shilingi elfu 8 tu.

Pazia la uuzaji wa tiketi za awali litafungwa Alhamisi ijayo na baada ya hapo mashabiki watalazimika kulipa shilingi elfu 10 kushuhudia onyesho hilo la Jahazi na Mashauzi Classic linalonasubiriwa kwa hamu kubwa.

Comments