SHINJI KAGAWA ATEMWA MAN UNITED … Borussia Dortmund yamnunua kwa pauni milioni 8


SHINJI KAGAWA ATEMWA MAN UNITED … Borussia Dortmund yamnunua kwa pauni milioni 8

Better times: Shinji Kagawa moved from Borussia                    Dortmund to Manchester United in the July 2012

HATIMAYE kiungo wa Manchester United Shinji Kagawa anatimka Old Trafford na kurejea kwenye timu yake ya zamani Borussia Dortmund.

Kagawa aliyeshindwa kupata namba ya kudumu kwenye kikosi cha United, anakwenda Borussia Dortmund kwa dau la pauni milioni 8

Nyota huyo wa kimataifa wa Japan atawasili Ujerumani Ijumaa hii kwaajili ya kukamilisha usajili huo wa mkataba wa miaka minne.



Comments