Top 10 ya wachezaji ambao ni marafiki sana katika ulimwengu wa soka


Top 10 ya wachezaji ambao ni marafiki sana katika ulimwengu wa soka

Na Anwar Binde,

Kwa kawaida katika maisha ya kila siku na mazingira unayoishi au kufanyia kazi basi lazima kutakua na mtu ambae mnapatana sana na huyo kuwa rafiki yako wa karibu sana,katika ulimwengu wa soka hilo nalo lipo na ni rahisi kuonekana kwa sababu ni watu ambao tunawaona na kuwafuatilia sana.

Ifuatayo ni orodha ya wachezaji ambao ni marafiki sana ndani na nje ya uwanja na wengine urafiki wao ulianzia utotoni kabisa.kama ifuatavyo:

10, Olivier Giroud na Laurent Koscielny

giroud

9. Sergio Ramos na Iker Casillas

cassilas

8. Cesc Fabregas na Gerard Pique

fabregas

7. Lionel Messi na Jose Manual Pinto

Barcelona's goalkeeper Pinto and Messi smile during a              training session at Joan Gamper camp, near Barcelona

6. Zlatan Ibrahimovic na Maxwell Scherrer

ibra

5. Cristiano Ronaldo na Marcelo

cristiano

4. Mousa Dembele na Jan Veronghen

veron

3. Mario Gotze na Marco Reus

mario
2. Gareth Bale na Luka Modric

bale

1. Thiago Silva na David Luiz

luiz



Comments